loader
 • English English
 • Swahili Kiswahili
 • BongaMpakabasi - zantel kwenda mitandao yote

  Zantel inatoa vifurushi maalumu vyenye dakika za bure, SMS za bure. Zantel inakupa vifurushi vyenye ushindani mkubwa vya kupiga mitandao mingine ndani ya Tanzania.

  filter_img

  Ofa Hii inapatikana kwa Wateja wote wa Zantel Bara na Visiwani.

  Jinsi ya Kujiunga

  • Piga *149*15# Kisha Chagua 3
  • Ezypesa Menyu (150*02# Kisha Chagua 4)
  • Tembelea Wakala wa Zantel wa Mimina Aliye Karibu nawe

  Kuwazawadia ndugu, jamaa na marafiki kifurushi hiki Piga *149*15# Kisha Chagua 6

  Vifurushi vya Mpakabasi vina aina 3 za kikomo cha Muda

  • Masaa 24
  • Siku 7
  • Siku 30
  bando tofauti tofauti
  CASH OUT
  P 2 P
  vigezo na masharti