loader
 • English English
 • Swahili Kiswahili
 • tuma na kupokea pesa

  img

  1. Piga *150*02#

  2. Chagua kutuma pesa kisha utaona machaguo mawili: Ingiza chaguo unalohitaji kulifanya kwa usahihi.

  • Tuma Kwenda Namba ya Simu
  • Tuma Kwenda Mitandao Mingine

  3. Kutuma pesa utahitajika kuingiza kiasi, kisha namba ya simu, utaona ukurasa wenye jina la mpokeaji, kisha ingiza nywila yako kukamilisha muamala.