loader
 • English English
 • Swahili Kiswahili
 • Maudhui ya Dini

  filter_img

  Jiunge na Zantel Madrasa upokee Quran, hadith, Qaswida, Dua, Mawaidha na mengine mengi moja kwa moja kwenye simu yako. Kujiunga, Piga 15586 na kufata maelekezo au Tuma neno SUB kwenda 15586.

  Huduma ya Zantel Madrasa ni huduma ya kwanza kuzinduliwa na mtandao wa simu nchini Tanzania, katika kufundisha dini na kuunganisha watu kujifunza dini nchini. Hii huduma inatoa nafasi kwa Waislamu wote kuunganishwa kupitia kodi za huduma maalum kwenye mtandao wa Zantel, hivyo inaruhusu wateja kupata mafundisho wa dini kila siku.Kujiunga, Piga 15586 na kufata maelekezo au Tuma neno SUB kwenda 15586.

  vigezo na masharti

   Kwa kutumia huduma ya Maudhui ya Dini kutoka Zantel utakuawa umekubaliana na vigezo na masharti. Kila wakati unapatumia Maudhui ya Dini kutoka Zantel unakuwa umekubaliana na mabadiliko yoyote yatakayo tokea kwenye vigezo na masharti haya.

   Malipo ya Kabla

   • Wateja wa malipo ya kabla wanaweza kujiunga na huduma ya Maudhui ya Dini kwa kupiga SMS Bando kwa kupiga IVR namba 15586 au Tuma neno SUB kwenda 15586.
   • Huduma hii inakupa Quran, hadith, Qaswida, Dua and Mawaidha kupitia kwenye simu yako.
   • Mteja atakatwa kiasi cha Sh 250 utoka kwenye akaunti kuu na atapatiwa huduma hii kwa siku 7 kuanzia siku aliyojiunga.
   • Mteja anaweza kujitoa wakati wowote kwenye huduma hii kwa kutuma neno ONDOA/UNSUB kwenda 15586.
   • Endapo mteja akijitoa kabla ya 7 tangu kujiunga kwake salio lake halitarudi kwenye akaunti kuu yake.
   • Mteja anaweza kuhama kutoka huduma moja kwenda nyingine (tarrif change) pamoja na huduma ya Maudhui ya Dini
   • Mteja wa malipo ya kabla (Prepaid) mwenye bando la SMS akiamua kuhamia kwenye ya mwezi (Postpaid) atapoteza huduma hii.