loader
 • English English
 • Swahili Kiswahili
 • vituo vya data

  filter_img

  Hii inawapatia wateja uwezo wa kuweka vifaa vyao ndani ya kituo kikuu cha data na kuunganisha na POP zilizopo Zantel Park.

  • Inapunguza gharama za miundombinu (Uunganishaji na maeneo ya kukutana).
  • Inalinda nishati na eneo.
  • Muda wa kuhudumia - inaongeza kasi kwa muda wa wateja kupata masoko na kuboresha miundombinu ya mtandao haraka.
  • Meet me room - vituo vyetu vya data vinhifadhi idadi kubwa ya wasambazaji wakuu.