- Mtumiaji atakuwa na kadi ya SIM ambayo ni ya kutumia huduma ya mtandao wa intaneti tu.
APN ya Biashara (Jina la kuunganishwa) ni huduma inayotolewa kama kifurushi (kifurushi cha intaneti) kama kianzio, IP (binafsi na kwa wote) na kwa uhusiano wa laini kwenda kwa wafanyakazi wa kampuni.
SIM kadi itakuwa inawezeshwa kupata tu data na hakuna uwezo wa matumizi ya sauti na SMS. APN tofauti itakuwa imeundwa katika mfumo wa Zantel kuhakikisha huduma ni ya binafsi na salama.
APN inatumiwa kwa: