- Inaweza kutumika katika huduma ya malipo ya kabla au baada.
- Inatoa fursa ya kupiga simu bila kikomo ili kuwezesha mawasiliano ndani ya biashara.
- Wanachama watakaokidhi sharti la kuwa na kiwango cha chini cha salio hupewa simu za kiganjani bure.
- Dakika na SMS kwa mitandao yote ndani na nje ya Tanzania (kwa maombi).
- Huduma za intaneti ya Blackberry bila kikomo (BIS) na huduma za biashara (BES).
- Simu za kiganjani bure.