- Ni mtandao unaodumu, uliyo na tofauti, una uwezo mkubwa na ucheleweshaji mdogo.
- Inaweza kutumiwa kwa biashara DTA, mkutano wa video na namna yoyote nyingine ya mawsiliano ya simu duniani.
- Inauwezo wa kupata uwezo wa nyaya zingine.
Tunakupa njia safi binafsi yenye kuunganisha dunia nzima kuanzia E1 mpaka STM-64