loader
 • English English
 • Swahili Kiswahili
 • kwanini zantel?

  Millicom ilianzishwa mnamo mwaka 1990 na makao makuu yako Luxembourg. Kampuni hiyo ina wafanyakazi zaidi ya 15,000 wanaowatumikia zaidi ya wateja millioni 60 katika soko zinazoendelea 14 apa barani Afrika na Amerika ya Kusini.

  Watu

  Zantel inaamini kuendeleza utamaduni unaowafanya wafanyakazi wake kujisikia huru na wenye thamani kwa kuwawezesha kukamilisha kazi. Zantel inahamasisha wafanyakazi wake kufanya kazi kwa pamoja na kusaidiana. Mafanikio yetu yanatokana na watu bora wanaojenga timu ya kimataifa. Kazi nyingi tunazopata ni zile usizoweza kufanya mwenyewe, kwa hiyo maendeleo yetu yanatokana na kuvutia, kuzawadia na kurejesha wale wanaoonyesha kiwango kikubwa cha kipaji.

  img

  Maendeleo

  Kwasababu biashara inakua ngumu kutokana na ushindani mkubwa pamoja na maendeleo ya kiteknolojia, tunazidi kutafuta njia ya kusaidiana na kuendeleza watu wetu. Pasipo kujali sehemu, tegemea kupata fursa ya kusoma zaidi ili kuendeleza mwenendo wa vipaji vyako.

  Tunafanya usimamizi wa maendeleo binafsi ya mtu mara mbili kwa mwaka, ikiwa pamoja na majadiliano ya katikati ya mwaka. Haya majadiliano yapo kukusaidia wewe na meneja kufahamu uwezo wako na maeneo ya kujiendeleza ili kujenga mpango wa maendeleo yako binafsi na kutafuta suluhisho la kujifunza.

  Unasubiri nini. Unaweza kutafuta na kujisajili katika fursa nyingi za kazi Bonyeza Hapa

  UKWELI KUHUSU ZANTEL

  MASOKO 7

  Masoko 7 yaliyopo nchi nzima katika maeneo ya Unguja na Pemba, Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Lindi na Pwani.

  WAFANYAKAZI 150

  Zantel ina wafanyakazi zaidi ya 150 nchini nzima.

  MADUKA 7

  Zantel ina matawi zaidi ya 22 Nchi nzima.

  MAENEO TULIYOPO 22

  Idadi ya Maeneo Tuliyopo – Mikoa 22 nchi nzima yenye Mtandao wa 4G+, 3G au 2G.