loader
 • English English
 • Swahili Kiswahili
 • img

  Zantel yazindua duka jipya lililopo Michenzani Mall-Unguja

  • Dec 03, 2021 07:32
      Mkuu wa Wilaya aipongeza kwa kuboresha huduma za Mawasiliano Katika kuhakikisha wateja wanapata huduma kwa urahisi, Kampuni ya Zantel imezindua duka jipya la huduma kwa wateja lililopo michenzania Mall mjini unguja. Uzinduzi wa duka hilo ulifanyika jana na Mkuu wa Wilaya ya Mjini, Rashid Msaraka na kushuhudiwa na wadau mbalimbali....
  soma zaidi
  img

  Zantel yazindua huduma ya Lipa kwa Simu, njia rahisi zaidi ya kufanya malipo kidigitali

  • Nov 02, 2021 11:33
  Bila kujali mtandao wa simu uliopo, sasa unaweza kulipia huduma na bidhaa kwa wafanyabiashara zaidi ya 800 hapa Zanzibar kupitia huduma ya Lipa kwa Simu.   Huduma hii imeboreshwa ambapo kwa mara ya kwanza ilijulikana kama Lipa Hapa iliyozinduliwa mwaka 2019. Lipa kwa Simu inakuja na sifa muhimu ikiwamo mfumo wa QR Code ambayo ni rahisi zaidi...
  soma zaidi
  img

  TAARIFA MUHIMU

  • Oct 11, 2021 07:51
  MUHUMU! Ndugu Mteja, usajili wa laini ni BURE! Tembelea wakala au duka letu lolote ukiwa na namba ya NIDA usajili kwa alama za vidole. Usitoe namba ya siri ya “Mobile Money” kwa mtu yeyote kuepuka matapeli!
  soma zaidi
  img

  TAARIFA MUHIMU

  • Oct 04, 2021 04:36
  MUHIMU! Piga *106# kisha 5 au fika kwa wakala ukiwa na namba yako ya NIDA ili kukamilisha zoezi la kurasimisha namba yako. Usitoe namba ya siri ya huduma ya “Mobile Money”. Epuka ujumbe wa Kitapeli!
  soma zaidi

  Habari Nyingine

  habari kutoka twitter