Zantel Madrasa


Jiunge na Zantel Madrasa upokee Quran,hadith,Qaswida,Dua,Mawaidha na mengine mengi moja kwa moja kwenye simu yako. Kujiunga, Piga 15586 na kufata maelekezo au Tuma neno SUB kwenda 15586

Huduma ya Zantel Madrasa ni huduma ya kwanza  kuzinduliwa na mtandao wa simu nchini Tanzania, Madrsa ikishirikiana na Bakwata, ni huduma inayokuwezesha kupata Quran, Hadith, Qaswida, Dua, Mawaidha, elimu na mafundisho ya Kiislamu. Kujiunga na Zantel Madrasa na laini yako ya Zantel piga 15586na kufata maelekezo au Tuma neno SUB KWENDA 15586Ujiunge na Huduma ya Madrasa leo.

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel