Kuwa Wakala wa Ezy Pesa


Kwa wateja wanajiandikisha kutoa huduma ya uwakala wa EzyPesa, unahitaji kuwa na nyaraka zifuatazo:

1.      Maelezo ya Bidhaa

2.      Nakala ya Kitambulisho au Barua kutoka Serikali za Mtaa

3.      Nakala ilioyothibitishwa ya cheti cha TIN

4.      Nakala iliyothibitishwa ya Leseni ya Biashara

5.      Mkataba ulihakikiwa wa Zantel EzyPesa

6.      Nyaraka ya Kampuni

7.      Wasifu wa Kampuni

8.      Picha z Passport

9.      Kianzio kisicho chini ya TZS 100,000

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi

 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel