Viwango vya Kawaida


Viwango vya Kawaida

Viwango vya Kawaida

Hii ni viwango vya kawaida. Vinatumika pale usipokua umejiunga na kifurushi chcochote.

  • SMS ya Kawaida: TZS 69
  • SMS ya Kimataifa: TZS 215
  • Intaneti: 128  TZS/MB

Viwango vya Kupiga

Mtandao 12 Asubuhi mpaka 11 Jioni TZS/Sek 11 Jioni mpaka 4 Usiku TZS/Sek 4 Usiku mpaka 12 Asubuhi TZS/Sek
Zantel kwenda Zantel 3.0 3.0 3.0
Zantel kwenda Mitandao Mingine 4.0 4.0 4.0

 

Viwango vya Kawaida Kupiga Nje ya Nchi

Ukanda Nchi Bei TZS/Sek
1 China, India, USA & Canada 6
2 Kenya, UAE,South Africa, Denmark, Sweden, Norway, Ireland, UK Mobile, UK fixed, Spain, France, Italy, Pakistan, Zimbabwe, Germany  12
3 DRC, Yemen, Oman, Lebanon, Israel, Sudan 16
4 ZimbabweMobile, Mozambique, Malawi, Uganda, Rwanda, Burundi, Zambiam, Mayotte, South Sudan 18
5 Duniani kwengine 14
6 Cuba,Vanuatu,Tunisia,Tonga-Mobile,Tokelau,Switzerland,Somalia,Seychelles,Nauru,Samoa,Madagascar,Slovenia,Comoro  36 
maalum THURAYA SATELLITE,TAJIKISTAN - SPECIAL SERVICES,SURINAME - MOBILE DIGICEL,NORFOLK ISLAND - MOBILE, ASCENSION - SPECIAL SERVICES 217

 

Bei hazijumuisha kodi ya ongezeko la thamani.

Nunua kupitia salio

Piga *149*15#

Nunua kupitia Ezy pesa

Piga *150*02#

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel