Vituo vya Data


Hii inawapatia wateja uwezo wa kuweka vifaa vyao ndani ya kituo kikuu cha data na kuunganisha na POP zingine zilizopo Zantel Park.

  • Inapunguza gharama za miundombinu (Uunganishaji na maendeo ya kukutana).
  • Inalinda nishati  na eneo.
  • Muda wa kuhudumia - inaongeza kasi kwa muda wa wateja kupata masoko na kuboresha miundombinu ya mtandao haraka.
  • Meet me room - vituo vyetu vya data vinahifadhi idadi kubwa ya wasambazaji wakuu.

 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel