Vifurushi vya Malipo ya Baada


Mkataba wa Malipo ya Baada inakupa vifurushi vinavyokidhi haja zako. Utofauti wake katika huu mkataba ni kwamba inakuruhusu kupata huduma zaidi ya kifurushi ulichochagua na ukaokoa pesa nyingi kwenye viwango vya kawaida.

Vifurushi vyetu vya malipo ya baada 

Bei (TZS) Data (MB)
1,600 100
4,800 500
8,000 1,024
12,000 2,048
16,000 3,072
20,000 5,120
24,000 10,240
28,000 15,360
40,000 20,480
80,000 51,200
120,000 76,800
184,000 102,400

Vifurushi vyote vinadumu kwa muda wa siku 30

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel