Vifurushi vya Intaneti


Vifurushi vya Intaneti

Intaneti imerahisishwa kutokana na teknolgia mbalimbali ilioyowezeshwa kwa vifaa tofauti, vifurushi navyo vimerahsishwa kwa bei ndogo. Hakuna sababu ya kulipa zaidi kwa ajili ya intaneti.

Social Packs

Bei (TZS) Intaneti Muda wa Kudumu
500 MB 500 Masaa 24
1,000 GB 1.2 Siku 7
1,500 GB 2.5 Siku 30

 

Vifurushi vya Siku

Bei Intaneti
TZS 300 MB 75
TZS 500  MB 250
TZS 1,000  GB 1
TZS 2,000  GB 3

 

Vifurushi vya Wiki

Bei Intaneti
TZS 3,000  MB 700
TZS 5,000  GB 1.2
TZS 8,000 GB 3
TZS 12,000  GB 12

 

Vifurushi vya Mwezi

Bei Intaneti
TZS 10,000 GB 1.5
TZS 15,000  GB 3
TZS 25,000  GB 7
TZS 35,000  GB 14

 Night Pack: Pata GB 2 kwa TZS 1,500

Kujiunga na Vifurushi kwa wasio wateja wa Zantel

Tuma SMS yenye Modem number (nafasi) PLAN (nafasi) Kificho. Tuma SMS kwenda 0776300300.
eg : 0775xxxxxx PLAN D200

Bei Intaneti Kificho Muda wa Kuduma
TZS 300  MB 75 D100 SIKU 1
TZS 500 MB 300 D300 SIKU 1
TZS 1,000 GB 1  D1.5G SIKU 1
TZS 2,000 GB 2 D3G SIKU 1
TZS 3,000 GB 1 W2G SIKU 7
TZS 5,000 GB 2 W3_5G SIKU 7
TZS 8,000 GB 6  W7G SIKU 7
TZS 12,000  GB 10 W12G SIKU 7
 TZS 10,000 GB 2 M3G SIKU 30
TZS 15,000 GB 3 M4G SIKU 30
TZS 25,000 GB 12.5 M20G SIKU 30

Kifurushi kikishaisha au muda wake kuisha, utalipa viawango vya kawaida mpaka utakaponunua kifurushi kingine. 

Nunua kupitia salio

Piga *149*15#

Nunua kupitia Ezy pesa

Piga *150*02#

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel