Uwezo wa Huduma


Hichi ni kitengo cha biashara inayoendesha mtandao wa mawasiliano ya simu na kuuza uwezo wa mawasiliano na huduma ya simu kwa watoaji wengine wa huduma ya mawasailiano ya simu, watoaji huduma ya intaneti na wafanyabiashara wengine. Kitengo hichi kuna sehemu kuu 3 ambazo ni;

  • Uwezo wa Biashara
  • Huduma ya Sauti Kimataifa
  • Utumiaji wa Mtandao Nje ya Nchi

Zantel ni mmoja wa wabia kwenye WIOCC na imewekeza sana kwenye cable za EASSy kwakupata jumla ya 96xSTM-1 na uwezo wa kuboresha zaidi. Huu ubia inaweka Zantel katika nafasi kama;

  • Mwekezaji mkuu katika huu muungano wa EASSy
  • Kuwa na upatikanaji mkubwa wa kuwa na IP mbali mbali kupitia POP ya WIOCC jijini DAR, Djibouti, Johannesburg ama London
  • Kuwa na upatikanaji kwa uwekezaji kwenye WACS (West Africa Cable System) ili kuongeza huduma yao sehemu mbali mbali na kutoa ufumbuzi ulio na bei nafuu kwa wote.

 

Uwezo wa Huduma

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel