Tuma na Kupokea

EzyPesa ni huduma ya pesa kwa njia ya simu inayowawezesha wateja wa Zantel kutuma, kupokea, kuweka, kutoa, kulipia bili au huduma, kununua vifurushi au muda wa maongezi kwa kutumia pesa ilioko kwenye simu ya mkononi ilioko kwenye akaunti EzyPesa muda na wakati wowote

Mteja anaweza kufanya malipo kwa kutumia huduma za kifedha kwa njia ya simu kwa kupiga *150*02# na kuchagua namba 5 - Malipo na kisha kuchagua bidhaa au huduma anayotaka kuilipia.

Ndio, tembelea wakala yoyote wa EzyPesa ama duka lololte la Zantel ukiwa na kitambulisho chako (brua kutoka serikali za mtaa) kujisajili na akaunti ya EzyPesa.

Hapana, wateja wa Zantel tu ndo wanaoruhusiwa kujisajili na huduma ya EzyPesa.

Hapana, hauhitaji Akaunti ya benki kufunga akaunti ya EzyPesa.

Tembelea wakala yoyote wa EzyPesa kuweka pesa.

There is no limit on changing password.

Ndio, unaweza kupokea pesa kutoka kwenye akaunti binafsi ya benki kama umejiunga na Sim/internet banking kwenye benki yako.

Ndio, unaweza tuma pesa kutoka kwa akaunti yako ya EztPesa kwenda kwenye akaunti yako binafsi ya benki kama benki yako imetajwa katika huduma za EzyPesa.

Hapana, kutuma pesa sio bure.

Ndio, lakini utaweza kutuma kwa wateja wengine akaunti za EzyPesa zilizosajiliwa.

Ndio, ni bure kupokea kiasu chochote cha pesa.

Hapana, kutoa pesa sio bure.

Ndio, unaweza kutuma kwenda mitandao mingine.

Ndio, mteja aliyesajiliwa anaweza kuhifadhi mpaka TZS 5,000,000 kwenye akaunti ya EzyPesa.

Ndio, unaweza kufanya muamala mpaka TZS 3,000,000 kwa wakati moja na TZS 5,000,000 kwa siku.

Hapana, unatakiwa kuripoti mara moja huduma kwa wateja wa zantel ili akaunti yako ifungwe.

Ndio, unaweza kutumia EzyPesa bila muda wa maongezi.

Ndio, lazima uwe nayo HAKIKSHA kwamba haugawi namba ya siri kwa mtu yoyote.

Ndio, unatakiwa kuwa na miaka 18 na zaidi.

Tembelea duka lolote za Zantel au piga 100 kwa huduma kwa wateja.

Tembelea duka lolote la Zantel au piga 100 huduma kwa wateja.

Unaweza kubadili namba yako ya siri kupitia Ezypesa kwa kupiga *150*02#,  (9)akaunti yangu, (2) badili namba ya siri

   

 

 

Tembelea duka lolote la Zantel na kitambulisho chako.

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel