Tuma na Kupokea Pesa


1.       Mteja anapiga *150*02# na

2.       Chagua kutuma pesa, utapata chagua mbili, kutuma pesa kwenda kwa namba ya Simu na kutuma pesa kwenda Mitandao mingine.

3.       Kutuma pesa utaingiza Kiasi, Namba ya Simu na Namba ya siri kukamilisha muamala.

 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel