Supa Mpaka Basi


Ofa ya Supa Mpaka Basi ni ofa inakupa fursa mpaka basi!

Ukinunua kifurushi chocote cha Mpaka Basi, kiwe cha siku, wiki au mwezi, utapata bonasi ya dakika zinazo lingana na kiasi cha dakika ulizozipata kwenye kifurushi cha Mpaka Basi. 

Dakika hizi ni zakutumia Zantel kwenda Zantel tu.

Piga *149*15# ujiunge sasa na kifurushi cha Supa Mpaka Basi uendelee kufurahia huduma bora zaidi toka Zantel.

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel