Smarta


Nunua simu janja yenye WhatsApp, Facebook, Twitter, Youtube na uwezo wa 4G

Maelezo Muhimu:

1. Simu hizi zinapatikana kwenye maduka yote ya ZANTEL, maduka shirikishi na wawakilishi wetu wa mauzo kwa Tsh.39,999/= tu

2. Simu hii inayobeba laini 2 ina uwezo wa kukamata mtandao wenye kasi zaidi wa 4G

3. Simu hizi zimeunganishwa na Whats App,Facebook,Twitter ,Youtube ,Radio,uwezo wa kupiga picha za selfie,betri inayodumu zaidi ya masaa 16 na vingine vingine

4. Pia simu hizi zinakuja na ofa ya GB 12 kwa mwaka mzima ambapo utapata GB 1 kila mwezi

5. Ofa ya mwezi wa kwanza utaipata mara tu baada ya kununua simu hii na kuunganishwa na line yako ya Zantel

6. Kupata ofa hii mwezi wa pili hadi wa kumi na mbili, hakikisha unaongeza muda wa maongezi kuanzia shilingi 1,000

7. Kujiunga na vifurushi vya intaneti utapiga *149*15# kisha chagua namba 5

Maduka ya Zantel

Shop Name Location
JK Nyerere Intl. Airport Inside terminal 2 a green booth
Zantel Headquarters Mwai Kibaki road near US Embassy
Shoopers Plaza Kiosk Shoppers Plaza near Mwai Kibaki Road
City Mall Shop City Mall ground floor opposite Maisha Supermarket
Vuga Vuga Road near the High Court
Mlandege Mlandege & Malawi Roads
Wete Bomani Street near Bus Stand
Chake Kichungwani street near Chake-Chake hospital

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel