Simcard ya Watalii


SIM card ya kitalii inawapa wageni dakika za kupiga kimataifa na pia ndani ya nchi, pamoja na GB 4 za kuperuzi kwenye intaneti. Jipatie laini ya Zantel ukiwa unatalii Tanzania ufurahie mtandao uliyo na bei nafuu zaidi!

Maelezo ya Kifurushi

Maelezo Dakika/Data
Zantel - Mitandao mingine ndani ya nchi Dakika 10
Zantel - Zantel Dakika 10
Uingereza, Uispania, Ufaransa, Denmark, Itali na Marekani  Dakika 5
Intaneti GB 4

Vigezo na Masharti

  • Mteja atatakiwa kununua simcard maalum ya Watalii
  • Bando zote zitawekwa mara baada ya usajili
  • Mteja ataweza kununua muda wa hewani au bando nyingine pale atakapohitaji
  • Bando maalum za watalii kutumika ndani siku 30 (mwezi mmoja)
  • Namba katia nchi zilizoorodhoshwa tu ndizo zitakazoweza kupigiwa kwa bando hii maalum
  • Usajili zitafuata taratibu zote za usajili kama zilivyoelekezwa na TCRA
  • Mteja atanunua simcard hii kwa USD 10 au kwa Shilingi za Kitanzania
  • Wateja walioko kwenye mpango huu wanaweza kupata maelezo ya offer na vifurushi vingine.

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel