Sauti na SMS

  • Mteja anawea kujiunga kwenye huduma hii kwa kupiga *149*09#  na kuchagua vifurushi cha Epiq nation anachohitaji kisha 1 kujiunga au piga *149*15# kisha chagua namba 3 kuchagua vifurushi vya Epiq nation.
  • Mteja anaweza kujitoa katika huduma hii kwa kupiga *149*09# na kuchagua vifurushi cha Epiq nation anachohitaji kisha 1 kujiunga au piga *149*15# kisha chagua namba 3 kujitoa.

Mteja anaweza kujiunga kupitia Mimina Credit, au kwa kupiga (*148*04# or *149*15#) kisha kuchagua huduma anayoihitaji.

Mteja anaweza kujiunga kupitia Mimina Credit, au kwa kupiga *148*04# or *149*15#

  • Chagua namba 2
  • Chagua namba 1 - International Mpakabasi
  • Chagua kifurushi
  • Chagua namba 1 kujiunga.
  • Mteja anaweza kujiunga na huduma ya kulabuku kwa kupiga *131# vigezo na masharti vikizingatiwa.
  • Mteja lazima awe anatumia Zantel kwa miezi mitatu (Siku 90) mfululizo.
  • Mteja lazima awe ametumia sio chini ya TZS 12000 katika miezi 3. 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel