Social Packs


Pata MB nyingi za kutumia kwenye Facebook na Whatsapp, na kusambaza muziki bure kutoka Mdundo App. Ni rahisi, nunua tu kifurushi cha Social Pack cha siku, wiki au mwezi na ufurahie.

BURUDIKA NA MDUNDO APP

Jiunge na Bando la Siku kwa TZS 500 upate MB 500 kuweza kusikiliza muziki kupitia Mdundo App, kuperuzi Facebook na kuchati Whatsapp. Piga *149*15# kujiunga

Jiunge na Bando la Wiki kwa TZS 1000  upate GB 1.2 kuweza kusikiliza muziki kupitia Mdundo App, kuperuzi Facebook na kuchati Whatsapp. Piga *149*15# kujiunga.

Jiunge na Bando la Mwezi kwa TZS 1500  upate GB 2.5 kuweza kusikiliza muziki kupitia Mdundo App, kuperuzi Facebook na kuchati Whatsapp. Piga *149*15# kujiunga.

 

 

 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel