Promosheni


Zantel Madrasa

Jiunge na Zantel Madrasa upokee Quran,hadith,Qaswida,Dua,Mawaidha na mengine mengi moja kwa moja kwenye simu yako.                                                        Kujiunga, Piga 15586 na kufata maelekezo au Tuma neno SUB kwenda 15586

University Offer

Furahia ofa kabambe ya Chuo, piga *148*05#

Kwa Siku

Bei Dakika Data SMS Muda
TZS 300 30+5 MB 300 50 Saa 24
TZS 500 60+5 MB 700 100 Saa 24

Kwa Wiki 

Bei Dakika Data SMS Muda
TZS 500 - MB 400 - Siku 7
TZS 1,500 145+5 MB 750 500 Siku 7

Kwa Mwezi

Bei Dakika Data SMS Muda
TZS 10,000 500+10 MB 5,120 500 Siku 30

 

Bando la Saa 

Jiunge na kifurushi cha saa upate MB100 kila saa, piga *149*15# kisha chagua ofa maalum hlafu chagua bando la saa

 

Jiunge na Zantel

Zanzibar

Jiunge Ufurahi na Zantel kwa Kununua laini ya Zantel weka Vocha ya shilingi 1000 Upate-Dakika 10 zantel kwenda Zantel wiki mbili, SMS 100 uchat wiki mbili na MB 100 kwa siku saba.

Tanzania Bara

Jiunge upate zaidi, nunua laini ya Zantel weka Vocha ya shilingi 1000 upate Dakika 30 kupiga mitandao yote kwa siku thelathini, meseji 200 na MB 200 Kuperuzi kwa siku saba

 

Epiq Nation

Epiq Nation ni ofa maalumu kwa vijana. Kifurushi kimoja kitakacho kidhi mahitaji yote ya vijana. Kujiunga na ofa hii piga *149*09# au *149*15# kutoka smiu yako ya kiganjani.

Bei Zantel kwenda mitandao yote (Dakika) SMS MMS Intaneti Muda wa Kuduma
TZS 300 6 50 0 MB 10 SIKU 1
TZS 500 12 60 50 MB 10 SIKU 1
TZS 899 25 500 100 MB 16 SIKU 1

 

Viwango baada ya Kifurushi kuisha

  • Zantel kwenda Zantel: TZS/Sek 1.9
  • Zantel kwenda mitandao mingine: TZS/Sek 3.5
  • SMS ya kawaida: TZS 50
  • SMS kwenda nje ya nchi: TZS 100

Viwango vya kupiga havijumuishi kodi ya ongezeko la thamani.

 

Ofa Kabambe

Hii ofa ni pale unaponua kadi ya SIM ya Zantel mpya na hudumu kwa mwezi moja.

  • Dakika 40 kwenda mitandao yote + Dakika 10 Zantel kwenda Zantel (Bara)
  • Dakika 30 Zantel kwenda Zantel (Zanzibar)
  • SMS 300
  • MB 200 ya Intaneti

 

 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel