Pokea Malipo ya Bili kwa Ezy Pesa


Kwa wateja wanajiandikisha kupata huduma ya kupokea malipo kwa EzyPesa, unahitaji kua na nyaraka zifuatazo:

1.      Maelezo ya Bidhaa

2.      Nakala ya Kitambulisho au Barua kutoka Serikali za Mtaa

3.      Nakala ilioyothibitishwa ya cheti cha TIN

4.      Nakala iliyothibitishwa ya Leseni ya Biashara

5.      Mkataba ulihakikiwa wa Zantel EzyPesa

6.      Nyaraka ya Kampuni

7.      Wasifu wa Kampuni

8.      Picha z Passport

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi

 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel