Nunua Muda wa Maongezi


1.       Mteja anapiga *150*02#.  

2.       Chagua "My Shop" na utapata chaguo nyingi zaidi.

3.       Mteja anatakiwa aweke namba ya siri ili kukamilisha muamala pale apatapo kifurushi ama muda wa maongezi.

 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel