Njia Binafsi (IPLC)


Tunakupa njia safi binafsi yenye kuunganisha dunia nzima kuanzia E1 mpaka STM-64.

  • Ni mtandano unaodumu, uliyo na tofauti, una uwezo mkubwa na ucheleweshaji mdogo.
  • Inaweza kutumiwa kwa biashara DTA, mkutano wa video na namna yoyote nyingine ya mawsiliano ya simu duniani.
  • Inauwezo wa kupata uwezo wa kable zingine.

 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel