Msako Time


Saa tisa alasiri hadi saa kumi jioni ni rasmi Zantel Msako Time.

Nunua kifurushi chochote cha Zantel intaneti na upate saa moja bure ya intaneti bila kikomo kila siku kuanzia saa tisa alasiri hadi saa kumi jioni.

Piga *149*15# kujiunga.

Maswali ya Mara kwa Mara

  Msako Time ni nini?

“MSAKO TIME” ni ofa mpya  kutoka Zantel inayompa mteja SAA MOJA  BURE kila siku  kuanzia SAA TISA KAMILI mchana mpaka saa KUMI KAMILI JIONI KUSAKA matukio mtandaoni 

  Je ninawezaje kujiunga na ofa hii?

Ni rahisi sana ili kufurahia ofa hii  kwanza utatatikiwa kuwa umejiunga na kifurushi chochote cha intaneti chenye ghrama isiyopungua ths. 1,000 au Zaidi na mara baadaya kujiunga  utaweza  kutumia  intaneti BURE  pindi ifikapo saa tisa kamili mchana mpaka saa kumi kamili jioni 

 

  Je mteja anajiunga vipi na huduma au Vifurushi vya MSAKO TIME?

Ni rahisi mteja anatakiwa kupiga *149*15# kisha chagua 1. MSAKO TIME na mteja atajichagulia moja kati ya vifurushi vilivyopo kwenye jedwali hapo chini  kitakachomwezesha kufurahia SAA MOJA BURE kila siku   

Muda Bei Internet
1 .Vifurushi vya Siku 1,000 750 MB
2,000 1.6 GB
2 . Vifurushi vya Wiki 3,000 700 MB
5,000 1.2 GB
8,000 2.5 GB
12,000 10 GB
3. Vifurushi vya Mwezi 10,000 1.5 GB
15,000 3 GB
25,000 7 GB
35,000 14 GB
  Je vifurushi hivi vinapatikana kwa wateja wa malipo ya kabla na baada?

Vifurushi hivi vinaweza kutumiwa na mteja wa Zantel wa Malipo ya kabla tu. 

  Je Ofa hii inapatikana kwa wateja wote wa Zantel walioko Zanzibar Na Bara?

Ndio! Ofa hii ni kwa ajili ya wateja wote wa Zantel Zanzibar na Bara. 

  Nikiwa nimejiunga na vifurushi vya Msako Time; Je ninaweza kutumia Msako Time Ofa kwa siku ngapi?

Kifurushi cha Siku kitakuwezesha  kuperuzi  Saa 1 BURE  siku hiyo hiyo au kesho yake kulingana na muda uliojiunga. 

Kifurushi cha Wiki kitakuwezesha  kuperuzi  Saa 1 BURE kila siku kwa muda wa siku saba. 

Kifurushi cha Mwezi kitakuwezesha  kuperuzi  Saa 1 BURE kila siku kwa muda wa siku 30 

  Nimekwisha jiunga kifurushi cha Msako Time; Je naweza kutumia Msako Time ofa Saa 1 Bure bila ukomo?

Mara itakapofika saa tisa kamili mchana mteja wa Zantel atatutumia inteneti bure kulingana na kiasi ambacho Zantel itakuwa imempa mteja huyu kwa saa 1.Kila mteja atapewa kiasi cha internet cha kutumia wakati wa Msako Time kulingana na kifurushi alichojiunga. 

  Je mteja anaweza kutumia ofa ya Msako Time kabla ya saa tisa mchana au baada ya saa kumi jioni?

Hapana! Mteja hataweza kutumia ofa ya MSAKO TIME kabla ya saa tisa na baada ya saa kumi jioni.Ofa ya MSAKO TIME inaanza saa tisa mchana mpaka saa kumi jioni. 

 

  Je inawezekana kujiunga tena MSAKO TIME kabla ya kifurushi nilichojiunga mwanzo hakijaisha?

Ndio! Unaweza kujiunga wakati wowote kifurushi chochote ulichochagua cha MSAKO TIME.  

  Je kuna njia yoyote yakuweza kujua salio la kifurushi cha MSAKO TIME? Je ni Ipi?

Unaweza kujua salio la kifurushi chako cha intaneti  kwa kupiga *149*15# kisha  chagua 9 na mara punde utaletewa ujumbe mfupi wenye salio lako la intaneti ,salio kuu pamoja na vifurushi vingine  ulivyo navyo ,Msako time ofa haina salio hivyo hutaweza kuona chochote

  Endapo nitamnunulia Rafiki kifurushi cha MSAKO TIME, Je atapata ofa ya MSAKO TIME?

Ndio! Rafiki atapokea Ofa ya MSAKO TIME 

  Je ni mara ngapi ninaweza kujiunga na kifurushi cha MSAKO TIME?

Hakuna ukomo wala zuio; unaweza kujiunga vifurushi vya MSAKO TIME mara nyingi uwezavyo. 

  Je mteja ambaye anatumia laini ya Zantel mda mrefu na mteja mpya wanaweza jiunga MSAKO TIME?

Ndio! Mteja wa Zantel wa Muda mrefu na mteja mpya wote wanaeza kujiunga Ofa hii. 

  Je ofa hii itadumu kwa muda gani?

Ofa hii itadumu kwa miezi mitatu tu. 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel