Matumizi Binafsi kwa Vikundi


Kwa kawaida wafanyabiashara huwa na mchanganyiko ya watumiaji wa malipo ya baada na ya kabla. Matumizi binafsi kwa vikundi kutoka Zantel inajenga kikundi kutoka kwenye huduma hizi mbalimbali na itakayowezesha kupiga simu masaa 24 kwa siku ndani ya kikundi bila malipo. Hii itawezesha ushirikiano katika vitengo mbalimbali vya biashara wakati ikiimarisha uhakika wa gharama.

Vipengele

 • Inaweza kutumika katika huduma ya malipo ya kabla au baada.
 • Inatoa fursa ya kupiga simu bila kikomo ili kuwezesha mawasiliano ndani ya biashara.
 • Wanachama watakaokidhi sharti la kuwa na kiwango cha chini cha salio hupewa simu za kiganjani bure.

Faida muhimu

 • Gharama za akiba za kawaida kati ya 30% - 40% juu ya mawasiliano ya simu kabla ya malipo kuwezesha usimamizi wa gharama na uhakika wa gharama kwa bajeti rahisi.

 • Simu za kiganjani mpya zinapatikana kutegemeana na matumizi yako ya kila mwezi.

 • Kukuza mawasiliano na ushirikiano ndani ya shirika, hasa katika vikundi vinavyofanya kazi .

Vipengele

 • Dakika na SMS kwa mitandao yote ndani na nje ya Tanzania (kwa maombi).

 • Huduma za intaneti ya Blackberry bila kikomo (BIS) na  huduma za  biashara (BES).

 • Simu za kiganjani bure.

Faida muhimu

 • Kupunguza gharama za mawasiliano baina ya biashara kwa biashara.
 • Kuhamasisha nguvu kazi kupitia huduma ya BlackBerry (BIS).
 • Bidhaa za simu za kiganjani mpya.
 • Kukuza biashara, kuongeza uzalishaji na gharama zenye manufaa.

 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel