Mashirika

Intaneti Binafsi ni huduma inayokupa intaneti yenye kasi kubwa yenye uwezo mkubwa usio na kikomo masaa 24 kwa siku.

Na Intaneti Binafsi utafurahia intaneti ya kasi zaidi kuanzia Mbps 1.

Zantel inakupa garantee ya kukusafirishia vifaa na kuvifunga pamoja na msaada wa kiteknolojia na usimamizi.

Wasiliana na huduma ya Biashara ya Zantel ambapo utajaza fomu ya kuweka oda ya huduma ya Intaneti Binafsi.

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel