Lipa Bili


1. Mteja anapiga *150*02# na kuchagua namba 5 - Malipo.

2. Chagua huduma ya kulipia kati ya zifuatazo.

 • Tukuza
 • Luku
 • ZCTV
 • Azam TV
 • ZMUX

3. Baada ya kulipa, mteja anabidi aingize namba ya akaunti, kiasi na namba ya siri kuhakiki malipo..

Sasa unaweza kulipa kodi mbalimbali za ZRB kupitia EzyPesa

 • Leseni ya Udereva
 • Usajili wa Magari
 • Mhuri wa Forodha
 • Ongezeko la Kodi ya Thamani
 • Ushuru wa Hoteli
 • Ushuru wa Mgahawa

 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel