Kuwa Mfanyabiashara atumiae Ezy Pesa


Kwa wateja wanajiandikisha kuwa wafanyabiashara watumiao EzyPesa, unahitaji kuwa na nyaraka zifuatazo:

1.      Maelezo ya Bidhaa

2.      Nakala ya Kitambulisho au Barua kutoka Serikali za Mtaa

3.      Nakala ilioyothibitishwa ya cheti cha TIN

4.      Nakala iliyothibitishwa ya Leseni ya Biashara

5.      Mkataba ulihakikiwa wa Zantel EzyPesa

6.      Nyaraka ya Kampuni

7.      Wasifu wa Kampuni

8.      Picha z Passport

Baada ya mkataba kuhakikiwa, uunganishaji na upimaji utafanyika kabla ya huduma kuanza. 

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi

 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel