Kutumia Zantel Nje ya Nchi


Zantel inakupa uwezo wa kutumia Zantel nje ya nchi. Unaweza kutumia huduma za simu pamoja na intaneti pamoja na mitandao shirka na Zantel. Okoa mpaka asilimi 30 kwenye huduma ya Zantel y a Malipo ya Baada. Hii huduma iko kwa mkataba.

Kutumia Zantel Nje ya Nchi sio huduma ya moja kwa moja, maombi yanahitajika kabla ya kuunganishwa na hii huduma.

 

TPL_VIEW_RATES_BY_COUNTRY

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel