Kutumia Zantel Kimataifa


Tunajihusisha kutoa huduma kwa wateja walio nje ya nchi ili kuwa na uwezo wa kujipatia huduma bora na za kiwango cha juu za GSM wanapokuwa mbali na nyumbani

  • Tunatoa bei nafuu
  • Tuna zaidi ya washirika 400 wa huduma za  nje ya nchi wakiunganisha nchi 170 duniani kote.

 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel