Anza Kutumia Ezy Pesa


Kutumia huduma za Ezypesa unahitaji kujisajili kwa wakala wowote wa Ezypesa au duka la Zantel. Unahitaji

  • SIM kadi ya Zantel
  • Simu ya kiganjani

Temblea wakala wowote wa EzyPesa alie karibu yako ama duka la Zantel na nyaraka zifuatazo:

  • Kitambulisho cha taifa; au
  • Kitambulisho cha kupigia kura; au
  • Kitambulisho cha kazini; au
  • Kitambulisho cha usalama wa jamii;au
  • Barua kutoka kwa serikali za mtaa.

Utatakiwa kujaza fomu ya usajili wa wateja, kumbuka kusoma vigezo na masharti. Baada ya usajili piga *150*02# na chagua huduma unayohitaji. Mteja anatakiwa kubadilisha namba yake ya siri pale ambapo ataanza kutumia huduma ya Ezypesa 

 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel