Kujua Salio Katika Simu


Kujua salio lako kwa njia rahisi zaidi,piga namba zifuatazo

KODI HUDUMA
*102# Kujua salio kuu,bonasi na mkopo
*102*01# Salio la dakika
*102*02# Salio la SMS
*102*03# Salio la Intaneti
*102*04# Salio la vifurushi vya kimataifa
*102*05# Salio la bure ulilonalo

 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel