Kazi


 

Kwanini Zantel

Millicom ilianzishwa mnamo mwaka 1990 na makao makuu yako Luxembourg. Kampuni hiyo ina wafanyakazi zaidi ya 15,000 wanaowatumikia zaidi ya wateja millioni 60 katika soko zinazoendelea 14 apa barani Afrika na Amerika ya Kusini.

Watu

Zantel inaamini kuendeleza utamaduni unaowafanya wafanyakazi wake kujiskia huru na wenye thamani kwa kuwawezesha kukamilisha kazi. Zantel inahamasisha wafanyakazi wake kufanya kazi kwa pamoja na kusaidiana. Mafanikio yetu yanatokana na watu bora wanaojenga timu ya kimataifa. Kazi nyingi tunazopata ni zile usizoweza kufanya mwenyewe, kwa hiyo maendeleo yetu yanatokana na kuvutia, kuzawadia na kurejesha wale wanaoonyesha kiwango kikubwa cha kipaji.

Maendeleo

Kwasbabu biashara inakua ngumu kutokana na ushindani mkubwa pamoja na maendeleo ya kiteknolojia, tunazidi kutafuta njia ya kusaidiana na kuendeleza watu wetu. Pasipo kujali sehemu, tegemea kupata fursa ya kusoma zaidi ili kuendeleza mwenendo wa vipaji vyako.

Tunafanya usimamizi wa maendeleo binafsi ya mtu mara mbili kwa mwaka, ikiwa pamoja na majadiliano ya katikati ya mwaka. Haya majadiliano yapo kukusaidia wewe na meneja kufahamu uwezo wako na maeneo ya kujiendeleza ili kujenga mpango wa maendeleo yako binafsi na kutafuta suluhisho la kujifunza. Unasubiri nini. Unaweza kutafta na kujisajili katika fursa nyingi za kazi kupitia http://www.millicom.com/our-careers/job-search/ 

 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel