Mkonga wa Mawasiliano wa Kimataifa


Uunganishwaji ulioenea unaoenda Ulaya, Asia na Amerika Kaskazini kupitia kable tofauti kama EIG, Reliance-FLAG, IMEWE na WACS.

  • Inalindwa kupitia makubaliano na waendeshaji wakuu wa mfumo wa kable za mawaniro ya kimataifa.
  • Ni bei nafuu, inaaminika na ina muungano mzuri katika miji tofauti ya Afrika na sehemu kuu za biashara duniani.

 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel