Mkataba wa Malipo ya Baada inakupa vifurushi vinavyokidhi haja zako. Utofauti wake katika huu mkataba ni kwamba inakuruhusu kupata huduma zaidi ya kifurushi ulichochagua na ukaokoa pesa nyingi kwenye viwango vya kawaida.

Unachokihitaji ni kutumia Intaneti amabyo ina spidi kubwa zaiidi Tanzanania. Nunua Modemu ya 4G au Simu zenye uwezo wa kupokea 4G.  Maisha marahisi na Zantel 4G.

 Vifurushi vyetu vya malipo ya baada.

Bei (TZS) Data (MB)
1,600 100
4,800 500
8,000 1,024
12,000 2,048
16,000 3,072
20,000 5,120
24,000 10,240
28,000 15,360
40,000 20,480
80,000 51,200
120,000 76,800
184,000 102,400
  • Vifurushi vyote vinadumu kwa muda wa siku 30.
  • Bei zote zimejumuisha na bei la ongezeko la thamani.

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel