Intaneti na Data


Zantel ni kampuni ya simu pekee inayokupa teknolojia mbili tofauti za huduma za intaneti (HSPA+ na CDMA). Kila tecknolojia ina nguvu na manufaa yake, hivo kua nazo zote inaipa Zantel uwezo wa kukupatia teknolojia bora inayokidhi mahitaji yako.

 

Intaneti na Data

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel