Huduma ya Tukuza

Ndio, ni lazima kujiunga katika EzyPesa kama huna akaunti ya EzyPesa.

Tafadhali tembelea wakala yoyote wa karibu wa EzyPesa kwa kusajili ukiwa na kitambulisho chako chochote au Barua ya mwenyekiti wa mtaa au muajiri. Kumbuka kubadili neno la siri kabla ya kuanza kufanya miamala.

Ndio, tembelea wakala yeyote wa EzyPesa kwaajili ya kuweka kiwango ambacho kitakutosha kununulia Umeme.

Tafadhali wasiliana na huduma kwa Wateja ya Zantel, ili wakutumie ujumbe wenye TOKENI.

Piga *150*02# kwaajili ya Huduma ya EzyPesa, chagua Malipo kasha Umeme, chagua TUKUZA fuata hatua kwa hatua.

Kiwango cha chini kabisa cha TUKUZA ni 500, Lakini itategemeana na kiwango cha Mita yako.

Hapana hakuna makato yoyote katika kulipia TUKUZA.

Kama Mita yako inadaiwa/inadeni italipa kwanza deni unalodaiwa, na kukupa Uniti kutokana na salio lilobaki.

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel