Huduma ya PBZ

Ndio, ni lazima kufungua Akaunti na Benki ya PBZ ili upate Huduma ya benki katika EzyPea.

Kwa wateja wa EzyPesa Tembelea wakala yoyote wa karibu wa EzyPesa ukiwa na kitambulisho chako chochote au Barua ya mwenyekiti wa mtaa au muajiri, wakala atakusajili katika Huduma ya EzyPesa. Kumbuka kubadili neno la siri kabla ya kuanza kufanya miamala.

Ndio, ingia katika Huduma ya EzyPesa chagua namba moja kwaajili ya kutuma pesa, chagua kutuma kwenda katika Benki akaunti

Hakuna makato katika kutuma pesa kutoka Benki kuja EzyPesa, lakini kuna makato kama utatuma pesa kutoka EzyPesa kwenda benki.

Ndio unaweza kuangalia salio la benki Kupitia Huduma ya EzyPesa

Ndio unaweza kupata taarifa za kibenki za Akaunti yako kiupitia Huduma ya EzyPesa.

Miamala yote inayofanyika Kupitia Huduma ya EzyPesa itatumia neno la siri la EzyPesa, hivyo huhitaji kutumia neno la siri la Akaunti yako ya Benki.

Hapana haiwezekani, unaweza tu kutuma kwenda katika Akaunti yako ya EzyPesa iliyosajiliwa na Akaunti yako ya benki.

Hapana hakuna makato yoyote katika usajili.

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel