Zantel Kukabidhi Vitabu Vyenye Thamani ya TSH. Milioni 10 kwa Mkuu wa Chuo cha Karume cha Sayansi Mjini Zanzibar


Mwenyekiti wa Zantel, Rachel Samren akikabidhi vitabu vyenye thamani ya Tsh. milioni 10 kwa Mkurugenzi wa chuo cha Karume cha sayansi na ufundi, Haji Abdulhamid ukiwa ni msaada kwa chuo hicho kutoka Zantel. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Zantel Afrika, Mohamed Ali Dabbour na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Zantel Tanzania, Benoit Janin.

Kwa maelezo zaidi, tutumie ujumbe

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel