Maboresho ya Mtandao


Katika kuhahakikisha huduma bora Zaidi kwa mteja wetu wa Zantel, tunapenda kuwafahamisha wateja kuwa tunaendelea kuboresha huduma zetu za kimtandao, hivyo tunaomba useti network ya simu yako iwe automatic (phone settings kuwa automatic).

Fuata maelekezo katika michoro hapo chini ili iweze kukuongoza 

Muongozo Feauturephone

Muongozo Smartphone

 

Kwa msaada zaidi piga namba 100 na wahudumu wetu watakusikiliza na kukusaidia kukupa maelekezo zaidi kubadili settings za simu yako kuwa automatic.

Kwa maelezo zaidi, tutumie ujumbe

 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel