Ezy Pesa kwa Biashara


Idadi ya watumiaji wa huduma ya pesa kwa njia ya simu ya mkononi ikiwa ina ongezeka, unaweza kufanya miamala na wateja wako kupitia Ezy Pesa ktoka mitandao yote. Jifunze jinsi ya kupata huduma hii, ikurahisishie wewe na wateja wako.

 

Ezy Pesa kwa Biashara

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel