Epic Ofa


Epic Ofa

Epiq Ofa ni ofa maalumu kwa vijana. Kifurushi kimoja kitakacho kidhi mahitaji yote ya vijana.

Bei Zantel kwenda mitandao yote (Dakika) SMS MMS Intaneti Muda wa Kuduma
TZS 300 6 50 0 MB 10 SIKU 1
TZS 500 12 60 50 MB 10 SIKU 1
TZS 999 25 500 100 MB 16 SIKU 1

 

Viwango baada ya Kifurushi kuisha

  • Zantel kwenda Zantel: TZS/Sek 1.9
  • Zantel kwenda mitandao mingine: TZS/Sek 3.5

 

Nunua kupitia salio

Piga *149*15#

Nunua kupitia Ezy pesa

Piga *150*02#

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel