BAO


Zantel inawezesha wateja wake kuwa washindi kwa kuwapa njia ya kuunganishwa na wapendwa wao. Bando hili litafanya wateja wetu wawe washindi. Washindi kazini. Washindi kwenye mahusiano yao. Washindi kwenye biashara zao. Washindi kwenye vitu ambavyo wanafurahia kufanya na kwenye maisha yao kiujumla. Haijalishi ni nini, tunawaambia wateja wetu kwamba Zantel ipo hapa kwa ajili yao. Hii ndio BAO!

Vifurushi vya Bao vinapatikana kanda ya Pwani - Mtwara, Lindi, Dar es Salaam na Tanga hii ni yenu. Kujiunga, piga *149*15#.

Maelezo ya Ofa

Bei Data Dakika Zantel - Zantel Zantel - Mitandao Mingine SMS Muda wa kudumu
TZS 1,000 MB 50 55 45 100 Siku 7
TZS 1,000 MB 1025 15 5 100 Siku 3
 
* Lindi na Mtwara wataendelea bila kikomo

 Maswali ya Mara kwa Mara

  Ni jinsi gani naweza kufurahia Ofa hii nikiwa Na laini ya Zantel?

Utafurahia Ofa hii Kwa kupiga *149*15# Na kisha chagua namba 10. Na utaiona Ofa hii kutegemeana Na eneo ulilokuwepo

  Mteja ambaye anatumia laini ya Zantel mda mrefu anaeza jiunga Na Ofa hii?

Ndio Mteja wa Zantel wa Muda mrefu anaeza kujiunga Na Ofa hii

  Na hii Ofa inapatikana Kwa Wateja Wote wa Zantel walioko Zanzibar Na Bara?

Hii Ofa NiKwa Ajiili ya Wateja walioko Bara tu

  Ni wakati gani naweza kujiunga Na Ofa hii Na sehemu gani?

Unaweza kujiunga Na Ofa hii wakati wowote Na sehemu yoyote ukiwa Dar/Tanga/Mtwara & Lindi/Pwani

  Endapo ntakuwa nimejiunga Na Ofa yoyote ya Mpakabas naweza kujiunga pia Na Ofa ya Regional Kwa pamoja?

Ndio Unaweza jiunga Na Ofa zinginezo za Mpakabasi pia vile vile ukajiungana Ofa hii ya Regional

  Ikitokea nikasafiri kwenda Zanzibar na Nina Ofa ya Regional naweza kuitumia nikiwa Zanzibar?

Ndio utaweza tumia Ofa yako mpaka itakapo kwisha ukiwa Zanzibar lakini ukitaka kujiunga ni mpaka uwe kwenye mikoa husika

*Vigezo na masharti kuzingatiwa


 

Angalia Kama Unapata Huduma

Tafuta duka la Zantel